Rozari Takatifu ya Huruma ya Mungu – Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma.
MAR 15, 2024
Description Community
About

Karibu tusali kwa pamoja sala ya Rozari Takatifu ya Huruma ya Mungu kutoka Parokia ya Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma sala hii inaongozwa na Padre Wojciech Adam, Mhifadhi wa Huruma ya Mungu katika kituo cha Kiabakari Jimboni humo.


L'articolo Rozari Takatifu ya Huruma ya Mungu – Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma. proviene da Radio Maria.

Comments