Je, wafahamu maana ya kubusu Msalaba?
MAR 27
Description Community
About

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Caspary Moses Nyihwil, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea, Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema nini maana ya Kubusu Msalaba.


L'articolo Je, wafahamu maana ya kubusu Msalaba? proviene da Radio Maria.

Comments