Ni kwanini katika mwanzo wa Ibada ya Ijumaa Kuu Padri hujilaza kifudifudi mbele ya Altare?
MAR 25
Description Community
About

Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani na Frateri Michael Mangazini, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema  kwanini kwenye Ibada ya Ijumaa Kuu, Padri anayeongoza Ibada anajilaza kifudifudi mbele ya Altare.


L'articolo Ni kwanini katika mwanzo wa Ibada ya Ijumaa Kuu Padri hujilaza kifudifudi mbele ya Altare? proviene da Radio Maria.

Comments