Ni kwanini wakristo hasa wakatoliki tunatumia Msalaba Kanisani kwaajili ya nini?
MAR 19, 2024
Description Community
About

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Oscar Mwamoto, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramihio Jimbo kuu la Songea swali la Msikilizaji linanolibiwa linasema  Msalaba ulitumika na Yesu zama hizo na yeye hayupo tena msalabani .sasa kwanini wakristo hasa wakatoliki tunatumia Msalaba Kanisani ni kwaajili ya nini?


L'articolo Ni kwanini wakristo hasa wakatoliki tunatumia Msalaba Kanisani kwaajili ya nini? proviene da Radio Maria.

Comments