Unafahamu Kwanini Kanisa linaitwa Mama na wakati huo Mungu ni Baba?
MAR 22, 2024
Description Community
About

Karibu katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, ambapo majibu yanatolewa na Frateri Oscar Mwamoto kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, akijibu swali linalosema kwanini Kanisa linaitwa Mama, wakati huo Mungu ni Baba. Je kuna uhusiano wowote hapo?


L'articolo Unafahamu Kwanini Kanisa linaitwa Mama na wakati huo Mungu ni Baba? proviene da Radio Maria.

Comments