Je, wafahamu kipindi cha Kwaresima Mtu akiwa amefunga anaruhusiwa kupokea Ekaristi Takatifu.
MAR 22, 2024
Description Community
About

Karibu katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, ambapo Frateri Felix Ulindula Kilasile, anajibu swali lililoulizwa kipindi cha Kwaresima Mtu akiwa amefunga anaruhusiwa kupokea Ekaristi Takatifu?


L'articolo Je, wafahamu kipindi cha Kwaresima Mtu akiwa amefunga anaruhusiwa kupokea Ekaristi Takatifu. proviene da Radio Maria.

Comments