Ifahamu Kwaresima na utetezi wa Uhai wa Binadamu.
MAR 27
Description Community
About

 Ungana na Agatha Kisimba katika kipindi cha Pro – Life na mada inayozungumziwa ni muendelezo wa mada ya Kwaresima na utetezi wa uhai wa Binadamu, wawezeshaji ni Janeth Akalo, Grace Shayo, Frida Mwanga na Witness Joachim wanautetezi wa uhai kutoka Pro – Life Tanzania.


L'articolo Ifahamu Kwaresima na utetezi wa Uhai wa Binadamu. proviene da Radio Maria.

Comments