Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Peter Peter, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema kwanini wakati wa Kwaresima tunasisitizwa zaidi kufanya kitubio kuliko nyakati zingine.
L'articolo Je, Kitubio kina Umuhimu sana wakati huu wa Kwaresima kuliko wakati mwingine? proviene da Radio Maria.