Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki la Songea ambapo swali linalojibiwa linasema Je, Mtu anaokoka akiwa duniani au baada ya kifo? majibu ya swali hili yanatolewa na Fratel Felix Olindula.
L'articolo Je, Mtu anaokoka akiwa duniani au baada ya kifo? proviene da Radio Maria.