Je, Sheria ya Kanisa inaeleza nini juu ya Wasimamizi wa Ubatizo & Kipaimara?
MAR 15
Description Community
About

Ungana na Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe ambapo leo tunaangazia Wasimamizi wa Sakramenti ya Ubatizo na Kipaimara.


L'articolo Je, Sheria ya Kanisa inaeleza nini juu ya Wasimamizi wa Ubatizo & Kipaimara? proviene da Radio Maria.

Comments