Ungana na Mtangazaji wako Tekla Revoctaus, katika kipindi cha Elimu Jamii Leo tupo na Msanifu Lugha Kusanja Emmanuel Kusanja, kutoka Baraza la Kiswahili Taifa [BAKITA] akizungumzia Makosa yanayofanya mara kwa mara na wazungumzaji wa Kiswahili.
L'articolo Je, wafahamu Makosa yanayofanya na Wazungumzaji wa Kiswahili? proviene da Radio Maria.