Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, ambapo swali linalojibiwa linalosema kuwa Kwanini tunaambiwa funga Jumatano ya majivu na usile nyama siku ya Ijumaa kuu? na majibu yanatolewa na Frateri Michael Paulo Mangazini.
L'articolo Kwanini tunaambiwa funga Jumatano ya majivu na usile nyama siku ya Ijumaa kuu? proviene da Radio Maria.