Ni kwa namna gani Mama Bikira Maria ni Mwalimu wa Huruma ya Mungu?
MAR 13
Description Community
About

Ungana nami Mtangazaji wako Erick Paschal Jnr katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambapo niko naye Padre Dominic Mavula C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania akiendelea kutupitisha kwa kina katika mada ya Huruma ya Mungu wakati wa kipindi cha  Kwaresima na kwa namna ya kipekee mada ndogo ya Mama Bikira Maria Mwalimu wa Huruma […]


L'articolo Ni kwa namna gani Mama Bikira Maria ni Mwalimu wa Huruma ya Mungu? proviene da Radio Maria.

Comments