Ni, kwa namna gani Mapaji ya Roho Mtakatifu yanafanya kazi katika Utashi wetu?
MAR 27
Description Community
About

Karibu ungane nami Elizabeth Masanja,  katika kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa leo tupo Askofu Mkuu Mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo Katoliki Arusha akifundisha juu ya Mapaji ya Roho Mtakatifu yanavyofanya kazi katika utashi wetu.


L'articolo Ni, kwa namna gani Mapaji ya Roho Mtakatifu yanafanya kazi katika Utashi wetu? proviene da Radio Maria.

Comments