Zifahamu Sheria za Sakramenti ya Kipaimara.
MAR 18
Description Community
About

Karibu ungane na Mtangazaji John Samky katika Kipindi cha Sheria za Kanisa ambapo kwa namna ya pekee Padre Ladsilaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe akiwa anaangazia mada ya Sakramenti ya Kipaimara. 


L'articolo Zifahamu Sheria za Sakramenti ya Kipaimara. proviene da Radio Maria.

Comments