Ni kwa namna gani mapaji ya Roho Mtakatifu yanakuwa na kukomaa nafsini mwetu?
MAR 19, 2024
Description Community
About

Karibu ungane nami Tekla Revoctaus,  katika kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa leo tupo Askofu Mkuu Mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo Katoliki Arusha akizungumzia juu ya kukuwa na kukomaa kwa Mapaji ya Roho Mtakatifu nafsini mwetu.


L'articolo Ni kwa namna gani mapaji ya Roho Mtakatifu yanakuwa na kukomaa nafsini mwetu? proviene da Radio Maria.

Comments