Je, wafahamu utofauti kati ya Hekalu na Sinagogi?
MAR 18
Description Community
About

Karibu katika Kipindi cha Maswali  Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea, majibu yanatolewa na Frater Maurus Zacharia Msigwa , akijibu swali linalouliza kuna utofauti gani Hekalu na Sinagogi.


L'articolo Je, wafahamu utofauti kati ya Hekalu na Sinagogi? proviene da Radio Maria.

Comments