Ni kwanini Yesu alimwambia Mnyang`aji Dismas leo utakuwa pamoja nami Paradiso?
MAR 25
Description Community
About

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Balthazar Boa kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo kuu la Songea swali la Msikiizaji linalojibiwa linasema  Yesu alipokuwa msalabani alimwambia Mnyang`aji Dismas, leo utakuwa pamoja nami peponi Je, hii siyo rushwa ? Na ni kwanini alimkubalia kabla hajamuondolea dhambi ?


L'articolo Ni kwanini Yesu alimwambia Mnyang`aji Dismas leo utakuwa pamoja nami Paradiso? proviene da Radio Maria.

Comments