Fahamu siku tatu kuu za Pasaka.
MAR 27, 2024
Description Community
About

Karibu uungane nami  Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, ambapo niko naye Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Katoliki Iringa,  akizungumzia juu ya siku tatu kuu za Pasaka.


L'articolo Fahamu siku tatu kuu za Pasaka. proviene da Radio Maria.

Comments