Karibu Ungane nami Mtangazaji wako Tekla Revocatus katika kipindi cha Ijue Liturujia kupitia Radio Maria Tanzania Mwezeshaji wetu Padri Dkt.Clement Kihiyo, Katibu Mtendaji idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Tanzania [TEC] ikiwa ni muendelezo wa mada Utaratibu wa Masomo ya Misa katika kipindi cha kawaida katika Mwaka.
L'articolo Fahamu Utaratibu wa Masomo ya Misa katika kipindi cha kawaida cha Mwaka -Sehemu ya Nne proviene da Radio Maria.