Karibu katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea, majibu yanatolewa na Frater Maurus Zacharia Msigwa , akijibu swali linalouliza kuna utofauti gani Hekalu na Sinagogi.
L'articolo Je, wafahamu utofauti kati ya Hekalu na Sinagogi? proviene da Radio Maria.