Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

About

Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio Maria Italia, Radio Maria nyingine iliibuka Amerika (kuanzia na Peru), Afrika (kwanza Burkina Faso), sehemu nyingine za Ulaya… na hivyo Familia ya Ulimwengu ya Radio Maria ilizaliwa mnamo Juni 1998, na kuwa NGO inayotambuliwa na UN, yenye makao makuu ya kisheria huko Roma. Madhumuni yake ni kuendeleza mradi wa kimisionari, kujibu maombi yanayotoka katika maeneo yote ya dunia, kuhakikisha uhalisi wa chapa, kutoa usaidizi wa kiufundi kwa RM zote, na kukuza mabadilishano na usaidizi kati ya kila redio. Familia ya Ulimwengu inadumisha mahusiano ya mara kwa mara ya taarifa na Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii la Kiti Kitakatifu

Available on

Community

939 episodes

Ifahamu Kwaresima na utetezi wa Uhai wa Binadamu.

 Ungana na Agatha Kisimba katika kipindi cha Pro – Life na mada inayozungumziwa ni muendelezo wa mada ya Kwaresima na utetezi wa uhai wa Binadamu, wawezeshaji ni Janeth Akalo, Grace Shayo, Frida Mwanga na Witness Joachim wanautetezi wa uhai kutoka Pro – Life Tanzania. L'articolo Ifahamu Kwaresima na utetezi wa Uhai wa Binadamu. https://www.radiomaria.co.tz/ifahamu-kwaresima-na-utetezi-wa-uhai-wa-binadamu-2/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

48m
Mar 27
Ni, kwa namna gani Mapaji ya Roho Mtakatifu yanafanya kazi katika Utashi wetu?

Karibu ungane nami Elizabeth Masanja,  katika kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa leo tupo Askofu Mkuu Mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo Katoliki Arusha akifundisha juu ya Mapaji ya Roho Mtakatifu yanavyofanya kazi katika utashi wetu. L'articolo Ni, kwa namna gani Mapaji ya Roho Mtakatifu yanafanya kazi katika Utashi wetu? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwa-namna-gani-mapaji-ya-roho-mtakatifu-yanafanya-kazi-katika-utashi-wetu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

58m
Mar 27
Fahamu siku tatu kuu za Pasaka.

Karibu uungane nami  Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, ambapo niko naye Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Katoliki Iringa,  akizungumzia juu ya siku tatu kuu za Pasaka. L'articolo Fahamu siku tatu kuu za Pasaka. https://www.radiomaria.co.tz/fahamu-siku-tatu-kuu-za-pasaka/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

54m
Mar 27
Je, wafahamu maana ya kubusu Msalaba?

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Caspary Moses Nyihwil, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea, Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema nini maana ya Kubusu Msalaba. L'articolo Je, wafahamu maana ya kubusu Msalaba? https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-maana-ya-kubusu-msalaba/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

19m
Mar 27
Amka na Mama Dominika ya Matawi-Sehemu ya Tisa

L'articolo Amka na Mama Dominika ya Matawi-Sehemu ya Tisa https://www.radiomaria.co.tz/amka-na-mama-dominika-ya-matawi-sehemu-ya-tisa/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

52m
Mar 25
Ni kwanini Yesu alimwambia Mnyang`aji Dismas leo utakuwa pamoja nami Paradiso?

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Balthazar Boa kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo kuu la Songea swali la Msikiizaji linalojibiwa linasema  Yesu alipokuwa msalabani alimwambia Mnyang`aji Dismas, leo utakuwa pamoja nami peponi Je, hii siyo rushwa ? Na ni kwanini alimkubalia kabla hajamuondolea dhambi ? L'articolo Ni kwanini Yesu alimwambia Mnyang`aji Dismas leo utakuwa pamoja nami Paradiso? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwanini-yesu-alimwambia-dismas-leo-utakuwa-pamoja-nami-peponi/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

21m
Mar 25
Ni kwanini katika mwanzo wa Ibada ya Ijumaa Kuu Padri hujilaza kifudifudi mbele ya Altare?

Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani na Frateri Michael Mangazini, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema  kwanini kwenye Ibada ya Ijumaa Kuu, Padri anayeongoza Ibada anajilaza kifudifudi mbele ya Altare. L'articolo Ni kwanini katika mwanzo wa Ibada ya Ijumaa Kuu Padri hujilaza kifudifudi mbele ya Altare? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwanini-adhimisho-la-ijumaa-kuu-padri-hujilaza-kifudifudi-mbele-ya-altare/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

25m
Mar 25
Kwanini Lugha chafu ni shinikizo la Marafiki katika Uraibu?

Karibu Ungane nami John Albert Samky, Katika kipindi cha Uraibu na Padri Richard Matanda Tesha,  Kutoka Jimbo Katoliki Moshi leo tunajifunza Lugha chafu na shinikizo la Marafiki katika kufanya Uraibu. L'articolo Kwanini Lugha chafu ni shinikizo la Marafiki katika Uraibu? https://www.radiomaria.co.tz/kwanini-lugha-chafu-ni-shinikizo-la-marafiki-katika-uraibu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

53m
Mar 25
Unafahamu Kwanini Kanisa linaitwa Mama na wakati huo Mungu ni Baba?

Karibu katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, ambapo majibu yanatolewa na Frateri Oscar Mwamoto kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, akijibu swali linalosema kwanini Kanisa linaitwa Mama, wakati huo Mungu ni Baba. Je kuna uhusiano wowote hapo? L'articolo Unafahamu Kwanini Kanisa linaitwa Mama na wakati huo Mungu ni Baba? https://www.radiomaria.co.tz/unafahamu-kwanini-kanisa-linaitwa-mama-na-wakati-huo-mungu-ni-baba/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

25m
Mar 22
Je, Kitubio kina Umuhimu sana wakati huu wa Kwaresima kuliko wakati mwingine?

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri  Peter Peter, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema  kwanini wakati wa Kwaresima tunasisitizwa zaidi kufanya kitubio kuliko nyakati zingine. L'articolo Je, Kitubio kina Umuhimu sana wakati huu wa Kwaresima kuliko wakati mwingine? https://www.radiomaria.co.tz/je-kitubio-kina-umuhimu-sana-wakati-huu-wa-kwaresima-kuliko-wakati-mwingine/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

25m
Mar 22
Je, wafahamu kipindi cha Kwaresima Mtu akiwa amefunga anaruhusiwa kupokea Ekaristi Takatifu.

Karibu katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, ambapo Frateri Felix Ulindula Kilasile, anajibu swali lililoulizwa kipindi cha Kwaresima Mtu akiwa amefunga anaruhusiwa kupokea Ekaristi Takatifu? L'articolo Je, wafahamu kipindi cha Kwaresima Mtu akiwa amefunga anaruhusiwa kupokea Ekaristi Takatifu. https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-kipindi-cha-kwaresma-mtu-akiwa-amefunga-anaruhusiwa-kupokea-ekaristi-takatifu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

25m
Mar 22
Je, wafahamu Makosa yanayofanya na Wazungumzaji wa Kiswahili?

Ungana na Mtangazaji wako Tekla Revoctaus,  katika kipindi cha Elimu Jamii Leo tupo na Msanifu Lugha Kusanja Emmanuel Kusanja, kutoka Baraza la Kiswahili Taifa  [BAKITA] akizungumzia Makosa yanayofanya mara kwa mara na wazungumzaji wa Kiswahili. L'articolo Je, wafahamu Makosa yanayofanya na Wazungumzaji wa Kiswahili? https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-makosa-yanayofanya-na-wazungumzaji-wa-kiswahili/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

44m
Mar 19
Ni kwanini wakristo hasa wakatoliki tunatumia Msalaba Kanisani kwaajili ya nini?

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Oscar Mwamoto, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramihio Jimbo kuu la Songea swali la Msikilizaji linanolibiwa linasema  Msalaba ulitumika na Yesu zama hizo na yeye hayupo tena msalabani .sasa kwanini wakristo hasa wakatoliki tunatumia Msalaba Kanisani ni kwaajili ya nini? L'articolo Ni kwanini wakristo hasa wakatoliki tunatumia Msalaba Kanisani kwaajili ya nini? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwanini-wakristo-hasa-wakatoliki-tunatumia-msalaba-ni-kwaajili-ya-nini/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

29m
Mar 19
Ni kwa namna gani mapaji ya Roho Mtakatifu yanakuwa na kukomaa nafsini mwetu?

Karibu ungane nami Tekla Revoctaus,  katika kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa leo tupo Askofu Mkuu Mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo Katoliki Arusha akizungumzia juu ya kukuwa na kukomaa kwa Mapaji ya Roho Mtakatifu nafsini mwetu. L'articolo Ni kwa namna gani mapaji ya Roho Mtakatifu yanakuwa na kukomaa nafsini mwetu? https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-nguvu-ya-roho-mtakatifu-nafsini-mwetu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

54m
Mar 19
Amka na Mama Kwaresima-Sehemu ya Nane.

L'articolo Amka na Mama Kwaresima-Sehemu ya Nane. https://www.radiomaria.co.tz/amka-na-mama-kwaresima-sehemu-ya-nane/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

56m
Mar 19
Amka na Mama -Kwaresima Sehemu ya Saba

L'articolo Amka na Mama -Kwaresima Sehemu ya Saba https://www.radiomaria.co.tz/amka-na-mama-kwaresima-sehemu-ya-saba/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

53m
Mar 18
Je, Wafahamu namna ya kuzuia Matatizo ya Figo?

Karibu katika kipindi cha ijue Afya yako kupitia Radio Maria Tanzania ambapo leo tupo na Nesi Calista Kayombo, Mkuu wa Idara ya Figo Hospitali ya Rufaa  Mtakatifu Francisco Ifakara,  akizungumzia Afya ya Figo kwa wote.   L'articolo Je, Wafahamu namna ya kuzuia Matatizo ya Figo? https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-namna-ya-kuzuia-matatizo-ya-figo/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

49m
Mar 18
Ni, Kwanini Misalaba inafunikwa kipindi cha Kwaresima?

Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Elikana Nyagabona, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema kwanini katika kipindi cha Kwaresima misalaba inafunikiwa . L'articolo Ni, Kwanini Misalaba inafunikwa kipindi cha Kwaresima? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwanini-misalaba-inafunikwa-kipindi-cha-kwaresima/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

24m
Mar 18
Fahamu Utaratibu wa Masomo ya Misa katika kipindi cha kawaida cha Mwaka -Sehemu ya Nne

Karibu Ungane nami  Mtangazaji wako Tekla Revocatus katika kipindi cha Ijue Liturujia kupitia Radio Maria Tanzania  Mwezeshaji wetu Padri  Dkt.Clement Kihiyo, Katibu Mtendaji idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Tanzania [TEC] ikiwa ni  muendelezo wa mada  Utaratibu wa Masomo ya Misa katika kipindi cha kawaida katika Mwaka.  L'articolo Fahamu Utaratibu wa Masomo ya Misa katika kipindi cha kawaida cha Mwaka -Sehemu ya Nne https://www.radiomaria.co.tz/fahamu-utaratibu-wa-masomo-ya-misa-katika-kipindi-cha-kawaida-katika-mwaka-sehemu-ya-nne/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

47m
Mar 18
Zifahamu Sheria za Sakramenti ya Kipaimara.

Karibu ungane na Mtangazaji John Samky katika Kipindi cha Sheria za Kanisa ambapo kwa namna ya pekee Padre Ladsilaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe akiwa anaangazia mada ya Sakramenti ya Kipaimara.  L'articolo Zifahamu Sheria za Sakramenti ya Kipaimara. https://www.radiomaria.co.tz/zifahamu-sheria-za-sakramenti-ya-kipaimara/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

55m
Mar 18
Je, wafahamu utofauti kati ya Hekalu na Sinagogi?

Karibu katika Kipindi cha Maswali  Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea, majibu yanatolewa na Frater Maurus Zacharia Msigwa , akijibu swali linalouliza kuna utofauti gani Hekalu na Sinagogi. L'articolo Je, wafahamu utofauti kati ya Hekalu na Sinagogi? https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-utofauti-kati-ya-hekalu-na-sinagogi/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

25m
Mar 18
Itambue Huruma ya Mungu Kipindi cha Kwaresima.

Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha Fahamu Wito ambapo Padre Innocent Bahati Mushi, OFMCap anatuongoza kuangazia Huruma ya Mungu kipindi cha Kwaresima. L'articolo Itambue Huruma ya Mungu Kipindi cha Kwaresima. https://www.radiomaria.co.tz/itambue-huruma-ya-mungu-kipindi-cha-kwaresima/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

53m
Mar 15
Kwanini tunaambiwa funga Jumatano ya majivu na usile nyama siku ya Ijumaa kuu?

Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, ambapo  swali linalojibiwa linalosema kuwa Kwanini tunaambiwa funga Jumatano ya majivu na usile nyama siku ya Ijumaa kuu? na majibu yanatolewa na Frateri  Michael Paulo Mangazini. L'articolo Kwanini tunaambiwa funga Jumatano ya majivu na usile nyama siku ya Ijumaa kuu? https://www.radiomaria.co.tz/kwanini-tunaambiwa-funga-jumatano-ya-majivu-usile-nyama-siku-ya-ijumaa-kuu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

25m
Mar 15
Je, Mtu anaokoka akiwa duniani au baada ya kifo?

Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki la Songea ambapo swali linalojibiwa  linasema Je, Mtu anaokoka akiwa duniani au baada ya kifo? majibu ya swali hili yanatolewa na Fratel Felix Olindula. L'articolo Je, Mtu anaokoka akiwa duniani au baada ya kifo? https://www.radiomaria.co.tz/je-mtu-anaokoka-akiwa-duniani-au-baada-ya-kifo/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

24m
Mar 15
Rozari Takatifu Matendo ya Mwanga – Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam

Karibu tusali sala ya Rozari Takatifu ya Fatima Matendo ya Mwanga tukiongozwa na baadhi ya Wanautume wa Radio Maria Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam. L'articolo Rozari Takatifu Matendo ya Mwanga – Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam https://www.radiomaria.co.tz/rozari-takatifu-matendo-ya-mwanga-makao-makuu-mikocheni-dar-es-salaam/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

38m
Mar 15
Rozari Takatifu Matendo ya Uchungu – Makao Makuu ya Radio Maria Tanzania

 Karibu tusali sala ya  Rozari Takatifu ya Fatima Matendo ya Uchungu tukiongozwa na baadhi ya Wanautume wa Radio Maria Tanzania Makao Makuu Mikocheni Jimbo Kuu la Dar es salaam. L'articolo Rozari Takatifu Matendo ya Uchungu – Makao Makuu ya Radio Maria Tanzania https://www.radiomaria.co.tz/rozari-takatifu-matendo-ya-uchungu-makao-makuu-ya-radio-maria-tanzania/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

38m
Mar 15
Yafahamu madhara ya matumizi holela ya dawa.

Karibu katika kipindi cha Ijue Afya yako kupitia Radio Maria Tanzania ambapo leo tunaangazia madhara ya matumizi holela ya dawa. L'articolo Yafahamu madhara ya matumizi holela ya dawa. https://www.radiomaria.co.tz/yafahamu-madhara-ya-matumizi-holela-ya-dawa/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

54m
Mar 15
Rozari Takatifu ya Huruma ya Mungu – Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma.

Karibu tusali kwa pamoja sala ya Rozari Takatifu ya Huruma ya Mungu kutoka Parokia ya Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma sala hii inaongozwa na Padre Wojciech Adam, Mhifadhi wa Huruma ya Mungu katika kituo cha Kiabakari Jimboni humo. L'articolo Rozari Takatifu ya Huruma ya Mungu – Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma. https://www.radiomaria.co.tz/rozari-takatifu-ya-huruma-ya-mungu-kiabakari-jimbo-katoliki-musoma/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

11m
Mar 15
Je, Sheria ya Kanisa inaeleza nini juu ya Wasimamizi wa Ubatizo & Kipaimara?

Ungana na Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe ambapo leo tunaangazia Wasimamizi wa Sakramenti ya Ubatizo na Kipaimara. L'articolo Je, Sheria ya Kanisa inaeleza nini juu ya Wasimamizi wa Ubatizo & Kipaimara? https://www.radiomaria.co.tz/je-sheria-ya-kanisa-inaeleza-nini-juu-ya-wasimamizi-wa-ubatizo-kipaimara/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

56m
Mar 15
Ni kwa namna gani Mama Bikira Maria ni Mwalimu wa Huruma ya Mungu?

Ungana nami Mtangazaji wako Erick Paschal Jnr katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambapo niko naye Padre Dominic Mavula C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania akiendelea kutupitisha kwa kina katika mada ya Huruma ya Mungu wakati wa kipindi cha  Kwaresima na kwa namna ya kipekee mada ndogo ya Mama Bikira Maria Mwalimu wa Huruma […] L'articolo Ni kwa namna gani Mama Bikira Maria ni Mwalimu wa Huruma ya Mungu? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwa-namna-gani-mama-bikira-maria-ni-mwalimu-wa-huruma-ya-mungu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.

57m
Mar 13