Ungana na Agatha Kisimba katika kipindi cha Pro – Life na mada inayozungumziwa ni muendelezo wa mada ya Kwaresima na utetezi wa uhai wa Binadamu, wawezeshaji ni Janeth Akalo, Grace Shayo, Frida Mwanga na Witness Joachim wanautetezi wa uhai kutoka Pro – Life Tanzania. L'articolo Ifahamu Kwaresima na utetezi wa Uhai wa Binadamu. https://www.radiomaria.co.tz/ifahamu-kwaresima-na-utetezi-wa-uhai-wa-binadamu-2/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu ungane nami Elizabeth Masanja, katika kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa leo tupo Askofu Mkuu Mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo Katoliki Arusha akifundisha juu ya Mapaji ya Roho Mtakatifu yanavyofanya kazi katika utashi wetu. L'articolo Ni, kwa namna gani Mapaji ya Roho Mtakatifu yanafanya kazi katika Utashi wetu? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwa-namna-gani-mapaji-ya-roho-mtakatifu-yanafanya-kazi-katika-utashi-wetu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu uungane nami Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, ambapo niko naye Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Katoliki Iringa, akizungumzia juu ya siku tatu kuu za Pasaka. L'articolo Fahamu siku tatu kuu za Pasaka. https://www.radiomaria.co.tz/fahamu-siku-tatu-kuu-za-pasaka/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Caspary Moses Nyihwil, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea, Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema nini maana ya Kubusu Msalaba. L'articolo Je, wafahamu maana ya kubusu Msalaba? https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-maana-ya-kubusu-msalaba/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
L'articolo Amka na Mama Dominika ya Matawi-Sehemu ya Tisa https://www.radiomaria.co.tz/amka-na-mama-dominika-ya-matawi-sehemu-ya-tisa/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Balthazar Boa kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo kuu la Songea swali la Msikiizaji linalojibiwa linasema Yesu alipokuwa msalabani alimwambia Mnyang`aji Dismas, leo utakuwa pamoja nami peponi Je, hii siyo rushwa ? Na ni kwanini alimkubalia kabla hajamuondolea dhambi ? L'articolo Ni kwanini Yesu alimwambia Mnyang`aji Dismas leo utakuwa pamoja nami Paradiso? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwanini-yesu-alimwambia-dismas-leo-utakuwa-pamoja-nami-peponi/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani na Frateri Michael Mangazini, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema kwanini kwenye Ibada ya Ijumaa Kuu, Padri anayeongoza Ibada anajilaza kifudifudi mbele ya Altare. L'articolo Ni kwanini katika mwanzo wa Ibada ya Ijumaa Kuu Padri hujilaza kifudifudi mbele ya Altare? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwanini-adhimisho-la-ijumaa-kuu-padri-hujilaza-kifudifudi-mbele-ya-altare/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu Ungane nami John Albert Samky, Katika kipindi cha Uraibu na Padri Richard Matanda Tesha, Kutoka Jimbo Katoliki Moshi leo tunajifunza Lugha chafu na shinikizo la Marafiki katika kufanya Uraibu. L'articolo Kwanini Lugha chafu ni shinikizo la Marafiki katika Uraibu? https://www.radiomaria.co.tz/kwanini-lugha-chafu-ni-shinikizo-la-marafiki-katika-uraibu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, ambapo majibu yanatolewa na Frateri Oscar Mwamoto kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, akijibu swali linalosema kwanini Kanisa linaitwa Mama, wakati huo Mungu ni Baba. Je kuna uhusiano wowote hapo? L'articolo Unafahamu Kwanini Kanisa linaitwa Mama na wakati huo Mungu ni Baba? https://www.radiomaria.co.tz/unafahamu-kwanini-kanisa-linaitwa-mama-na-wakati-huo-mungu-ni-baba/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Peter Peter, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema kwanini wakati wa Kwaresima tunasisitizwa zaidi kufanya kitubio kuliko nyakati zingine. L'articolo Je, Kitubio kina Umuhimu sana wakati huu wa Kwaresima kuliko wakati mwingine? https://www.radiomaria.co.tz/je-kitubio-kina-umuhimu-sana-wakati-huu-wa-kwaresima-kuliko-wakati-mwingine/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu la Songea, ambapo Frateri Felix Ulindula Kilasile, anajibu swali lililoulizwa kipindi cha Kwaresima Mtu akiwa amefunga anaruhusiwa kupokea Ekaristi Takatifu? L'articolo Je, wafahamu kipindi cha Kwaresima Mtu akiwa amefunga anaruhusiwa kupokea Ekaristi Takatifu. https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-kipindi-cha-kwaresma-mtu-akiwa-amefunga-anaruhusiwa-kupokea-ekaristi-takatifu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Ungana na Mtangazaji wako Tekla Revoctaus, katika kipindi cha Elimu Jamii Leo tupo na Msanifu Lugha Kusanja Emmanuel Kusanja, kutoka Baraza la Kiswahili Taifa [BAKITA] akizungumzia Makosa yanayofanya mara kwa mara na wazungumzaji wa Kiswahili. L'articolo Je, wafahamu Makosa yanayofanya na Wazungumzaji wa Kiswahili? https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-makosa-yanayofanya-na-wazungumzaji-wa-kiswahili/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Oscar Mwamoto, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramihio Jimbo kuu la Songea swali la Msikilizaji linanolibiwa linasema Msalaba ulitumika na Yesu zama hizo na yeye hayupo tena msalabani .sasa kwanini wakristo hasa wakatoliki tunatumia Msalaba Kanisani ni kwaajili ya nini? L'articolo Ni kwanini wakristo hasa wakatoliki tunatumia Msalaba Kanisani kwaajili ya nini? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwanini-wakristo-hasa-wakatoliki-tunatumia-msalaba-ni-kwaajili-ya-nini/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu ungane nami Tekla Revoctaus, katika kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa leo tupo Askofu Mkuu Mstaafu Josaphat Louis Lebulu wa Jimbo Katoliki Arusha akizungumzia juu ya kukuwa na kukomaa kwa Mapaji ya Roho Mtakatifu nafsini mwetu. L'articolo Ni kwa namna gani mapaji ya Roho Mtakatifu yanakuwa na kukomaa nafsini mwetu? https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-nguvu-ya-roho-mtakatifu-nafsini-mwetu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
L'articolo Amka na Mama Kwaresima-Sehemu ya Nane. https://www.radiomaria.co.tz/amka-na-mama-kwaresima-sehemu-ya-nane/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
L'articolo Amka na Mama -Kwaresima Sehemu ya Saba https://www.radiomaria.co.tz/amka-na-mama-kwaresima-sehemu-ya-saba/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika kipindi cha ijue Afya yako kupitia Radio Maria Tanzania ambapo leo tupo na Nesi Calista Kayombo, Mkuu wa Idara ya Figo Hospitali ya Rufaa Mtakatifu Francisco Ifakara, akizungumzia Afya ya Figo kwa wote. L'articolo Je, Wafahamu namna ya kuzuia Matatizo ya Figo? https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-namna-ya-kuzuia-matatizo-ya-figo/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Elikana Nyagabona, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema kwanini katika kipindi cha Kwaresima misalaba inafunikiwa . L'articolo Ni, Kwanini Misalaba inafunikwa kipindi cha Kwaresima? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwanini-misalaba-inafunikwa-kipindi-cha-kwaresima/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu Ungane nami Mtangazaji wako Tekla Revocatus katika kipindi cha Ijue Liturujia kupitia Radio Maria Tanzania Mwezeshaji wetu Padri Dkt.Clement Kihiyo, Katibu Mtendaji idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Tanzania [TEC] ikiwa ni muendelezo wa mada Utaratibu wa Masomo ya Misa katika kipindi cha kawaida katika Mwaka. L'articolo Fahamu Utaratibu wa Masomo ya Misa katika kipindi cha kawaida cha Mwaka -Sehemu ya Nne https://www.radiomaria.co.tz/fahamu-utaratibu-wa-masomo-ya-misa-katika-kipindi-cha-kawaida-katika-mwaka-sehemu-ya-nne/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu ungane na Mtangazaji John Samky katika Kipindi cha Sheria za Kanisa ambapo kwa namna ya pekee Padre Ladsilaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe akiwa anaangazia mada ya Sakramenti ya Kipaimara. L'articolo Zifahamu Sheria za Sakramenti ya Kipaimara. https://www.radiomaria.co.tz/zifahamu-sheria-za-sakramenti-ya-kipaimara/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika Kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea, majibu yanatolewa na Frater Maurus Zacharia Msigwa , akijibu swali linalouliza kuna utofauti gani Hekalu na Sinagogi. L'articolo Je, wafahamu utofauti kati ya Hekalu na Sinagogi? https://www.radiomaria.co.tz/je-wafahamu-utofauti-kati-ya-hekalu-na-sinagogi/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Ungana nami Martin Joseph katika kipindi cha Fahamu Wito ambapo Padre Innocent Bahati Mushi, OFMCap anatuongoza kuangazia Huruma ya Mungu kipindi cha Kwaresima. L'articolo Itambue Huruma ya Mungu Kipindi cha Kwaresima. https://www.radiomaria.co.tz/itambue-huruma-ya-mungu-kipindi-cha-kwaresima/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, ambapo swali linalojibiwa linalosema kuwa Kwanini tunaambiwa funga Jumatano ya majivu na usile nyama siku ya Ijumaa kuu? na majibu yanatolewa na Frateri Michael Paulo Mangazini. L'articolo Kwanini tunaambiwa funga Jumatano ya majivu na usile nyama siku ya Ijumaa kuu? https://www.radiomaria.co.tz/kwanini-tunaambiwa-funga-jumatano-ya-majivu-usile-nyama-siku-ya-ijumaa-kuu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki la Songea ambapo swali linalojibiwa linasema Je, Mtu anaokoka akiwa duniani au baada ya kifo? majibu ya swali hili yanatolewa na Fratel Felix Olindula. L'articolo Je, Mtu anaokoka akiwa duniani au baada ya kifo? https://www.radiomaria.co.tz/je-mtu-anaokoka-akiwa-duniani-au-baada-ya-kifo/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu tusali sala ya Rozari Takatifu ya Fatima Matendo ya Mwanga tukiongozwa na baadhi ya Wanautume wa Radio Maria Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam. L'articolo Rozari Takatifu Matendo ya Mwanga – Makao Makuu Mikocheni Dar es salaam https://www.radiomaria.co.tz/rozari-takatifu-matendo-ya-mwanga-makao-makuu-mikocheni-dar-es-salaam/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu tusali sala ya Rozari Takatifu ya Fatima Matendo ya Uchungu tukiongozwa na baadhi ya Wanautume wa Radio Maria Tanzania Makao Makuu Mikocheni Jimbo Kuu la Dar es salaam. L'articolo Rozari Takatifu Matendo ya Uchungu – Makao Makuu ya Radio Maria Tanzania https://www.radiomaria.co.tz/rozari-takatifu-matendo-ya-uchungu-makao-makuu-ya-radio-maria-tanzania/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu katika kipindi cha Ijue Afya yako kupitia Radio Maria Tanzania ambapo leo tunaangazia madhara ya matumizi holela ya dawa. L'articolo Yafahamu madhara ya matumizi holela ya dawa. https://www.radiomaria.co.tz/yafahamu-madhara-ya-matumizi-holela-ya-dawa/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Karibu tusali kwa pamoja sala ya Rozari Takatifu ya Huruma ya Mungu kutoka Parokia ya Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma sala hii inaongozwa na Padre Wojciech Adam, Mhifadhi wa Huruma ya Mungu katika kituo cha Kiabakari Jimboni humo. L'articolo Rozari Takatifu ya Huruma ya Mungu – Kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma. https://www.radiomaria.co.tz/rozari-takatifu-ya-huruma-ya-mungu-kiabakari-jimbo-katoliki-musoma/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Ungana na Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe ambapo leo tunaangazia Wasimamizi wa Sakramenti ya Ubatizo na Kipaimara. L'articolo Je, Sheria ya Kanisa inaeleza nini juu ya Wasimamizi wa Ubatizo & Kipaimara? https://www.radiomaria.co.tz/je-sheria-ya-kanisa-inaeleza-nini-juu-ya-wasimamizi-wa-ubatizo-kipaimara/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.
Ungana nami Mtangazaji wako Erick Paschal Jnr katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambapo niko naye Padre Dominic Mavula C.PP.S Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania akiendelea kutupitisha kwa kina katika mada ya Huruma ya Mungu wakati wa kipindi cha Kwaresima na kwa namna ya kipekee mada ndogo ya Mama Bikira Maria Mwalimu wa Huruma […] L'articolo Ni kwa namna gani Mama Bikira Maria ni Mwalimu wa Huruma ya Mungu? https://www.radiomaria.co.tz/ni-kwa-namna-gani-mama-bikira-maria-ni-mwalimu-wa-huruma-ya-mungu/ proviene da Radio Maria https://www.radiomaria.co.tz.